Refund policy

Ndugu mteja; hatufanyi refund wala kurudisha Mzigo wa bidhaa uloagiza pale Invoice yako itakapo andaliwa na ukalipia, tafadhali hakikisha order yako iko sawa.

Endapo utahitaji kubadilisha order yako. Tafadhali ndani ya siku 3 tokea umefanya malipo wasiliana na agent husika aliyepokea order yako. Ikipita siku 3 order yako ni final.

Endapo kuna tatizo la bidhaa kuwa ya aina nyingine na uliyoagiza tafadhali wasiliana na wakala wetu katika ofisi iliyopo Kawe, Dar es salaam Tanzania.

mfano wa aina za bidhaa zetu ni:
1. Viatu
2. Pochi
3. Nguo za Ndani
4. Decor
5. Jewerly
6. Home furniture
7. Vyombo


Endapo mzigo wako utapelea idadi kulingana na ulivyoagiza. Tafadhali wasiliana na wakala wetu walioko Kawe, Dar es salaam Tanzania ukiwa na Invoice namba yako.

Bidhaa za Zee inayo mamlaka ya kukataa kutoa huduma kwa mteja yoyote yule anayeonyesha mwenendo mbaya kwa mfanyakazi wake.
Wasiliana nasi