ZeeJumla
Fresh bowls
Fresh bowls
Regular price
TZS114,000.00
Regular price
Sale price
TZS114,000.00
Unit price
/
per
Glass bowl. Hizi ni container za kuhifadhi vitu kama matunda, salad. Pia unaeza kuweka vitu kama karanga, korosho nk. Uzuri wake zina mshikia unakuja unashikilia kontena 3 kwa pamoja. Inamana unaeza ukaeka chakula ukaenda nacho ofisini au kumpelekea mgonjwa chakula hospital. Ukaeka milo 3 kwa pamoja. Mfuniko wake ni wa silicon na bakuli ni la glass. Unaeza kueka kwenye microwave au fridge bila shida kabisa.